kwanza namshukuru Mungu Mtoaji wa vyote, endapo atanibariki uongozi wa juu wa Taifa letu la Tanzania nitafanya haya yafuatayo;
1. KUHUSU KATIBA
Nitaruhusu katiba inayopendekezwa na wananchi wengi kwa kupigiwa kura
2. KUHUSU MUUNGANO
Hakutakuwa na serikali mbili kwenye nchi moja, hii ina...