Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Dkt. Samia Suluhu Hassan amempongeza, Prof. Arthur Peter Mutharika wa Chama cha DPP, Rais Mteule wa Jamhuri ya Malawi, kwa ushindi wake katika uchaguzi mkuu wa Malawi wa mwaka 2025.
Rais Dkt. Samia ametoa pongezi hizo kupitia mtandao wake wa kijamii wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.