Kusanyiko letu leo hapa, Sio kwajili ya kuwazawadia walio shinda kwenye uchaguzi, Lahasha. Bali ni matakwa ya kikatiba. Ya kukabidhiwa dhamana ya kuwa mtumishi Mkuu wa taifa katika kuleta maendeleo endelevu. Kwa maana ya uimara wa kiuchumi, ki siasa, ki diplomasia, na ki jamii. Ili tuweze...