rais bolivia anusurika kupinduliwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. State Propaganda

    Rais Luis Arce wa Bolivia anusurika jaribio la mapinduzi

    Jana tarehe 26 juni 2024 wanajeshi wa bolivia walilizunga kasri la raisi Arce kwa nia ya kutaka kumpindua amiri jeshi mkuu. Former President wa nchi hiyo Evo Morales ambaye alipinduliwa mwaka 2019 amelaani vikali jaribio hilo kupitia mtandao wa X ambapo amesema kuwa generali Juan Jose Zuniga...
Back
Top Bottom