UCHAGUZI UMEGEUKA UCHAFUZI TENA. JIMBO LA MAFIA Wasimamizi wamekimbia vituo hawataki kuwaapisha Mawakala wa Vyama vya upinzani wanasema wamechelewa na muda wamepanga wao. Hivi ndivyo mlivyowanoa wakimbie vituo. Mtakiona oktoba 29
Pia soma > ACT Wazalendo: Tunaenda kwenye uchaguzi tukiwa hatuna...
Mgombea Ubunge Jimbo la Kinondoni kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Rahma Mwita amewataka wanaofuatilia siasa mitandaoni kuacha tabia ya kutukana viongozi kwa sababu ni udhalilishaji wa mwanamke na wazazi wao wenyewe.
Mgombea wa Ubunge kupitia Chama cha ACT Wazalendo katika Jimbo la Kinondoni, Rahma Mwita ameahidi kuwekeza nguvu zake katika kuboresha huduma za kijamii na miundombinu endapo wananchi watampa ridhaa ya kuwaongoza.
Hayo ameyabainisha Agosti 24, 2025 mara baada ya kuchukua fomu katika Ofisi za...
KUFUNGIWA KWA GAZETI LA MWANANCHI MTANDAONI NI KUMINYA UHURU WA HABARI
ACT Wazalendo tunapinga vikali kufungiwa kwa gazeti la Mwananchi Mtandaoni na kuitaka Serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuondoa zuio hilo ili gazeti liendelee kutoa huduma ya habari kwa umma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.