A quiz is a form of game or mind sport in which players attempt to answer questions correctly on one or several specific topics. Quizzes can be used as a brief assessment in education and similar fields to measure growth in knowledge, abilities, or skills. They can also be televised for entertainment purposes, often in a game show format.
Day 2:
Karibuni tena wataalamu wa jiografia. Leo ni raundi ya pili ya Club Mate’s Geography Quiz.
Leaderboard:
1. Al Watani - 8pts
Taja nchi sahihi kwenye categories zinazofuata.
Kila jibu 1 sahihi (wa kwanza kucomment) = 1pts
Majibu 5 sahihi (wa kwanza kucomment) = 10pts
Panga jibu kwa...
Day 1
Wataalamu wa jiografia karibuni kwenye siku ya kwanza ya Club Mate’s Geography Quiz. Wa kwanza kutaja jibu sahihi la category moja atapata point moja, wa kwanza kutaja majibu yote sahihi kwa pamoja atapata points 10 kwenye leaderboard. Tumpate bingwa wa jiografia wa hapa JF.
Leaderboard...
Je, unaweza kutambua baadhi ya nembo za timu hizi zilizoshiriki Kombe la Mapinduzi?
Umeweza kutambua timu ngapi kutoka kwenye nembo hizo?
Tupia “comment”tuone mshindi ni nani.