qnet

Qnet Ltd, formerly known as QuestNet, GoldQuest, and QI Limited, is a Hong Kong-based multi-level marketing (MLM) company owned by the QI Group. The company's products include energy, weight management, nutrition, personal care, home care and fashion accessories on an e-commerce platform.It operates legally in some countries, but has been charged with Ponzi scheme and multi level marketing in countries like India. The government of India and the Telecom Regulatory Authority of India banned the site in the country after a protest spread in Bangalore.Its operations tend to be franchised out to local companies, thus allowing the head office to earn while relieving it of liability and responsibility from local and national cases of fraud.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hawa QNET wapo juu ya sheria?

    Juzi nimeangalia ITV Habari nikaona QNET wamefanya utapeli wao tena huko Same, Kilimanjaro. Utaratibu wao ni uleule wa kuwakusanya vijana toka sehemu mbalimbali na kuwapa matumaini hewa ya maisha. Yaani vijana wanakuwa kama misukule. Kesi za QNET ni nyingi sana kiasi kwamba najiuliza kama wako...
  2. JamiiForums Tanzania DOKEZO Scam Alert: Kalynda E-Commerce Investment ni Qnet Inayochipukia, ITV watumika

    Utapeli wa mtandaoni ndiyo habari ya mjini kwa sasa. Kuna aina nyingi sana huu utapeli wa huko mitandaoni. Ukiachana na wale wazee wa "Hiyo pesa tuma kwenye namba hii", kuna huu utapeli mpya ulioingia wa kuwakusanya vijana kisha kuwaaminisha kuna kampuni fulani inatoa commission unapofanya mambo...
  3. JamiiForums Tanzania Kisa QNET, Walimu 8 wafukuzwa kazi Geita

    By Rehema Matowo Geita. Tume ya utumishi wa walimu wilayani Geita mkoani Geita imewafukuza kazi walimu wanane kwa utoro kazini. Walimu hao ambao sita ni wa shule za msingi na wawili wa sekondari, wanadaiwa kujishughulisha na biashara za Qnet badala ya kumtumikia mwajiri huku wengine wakidaiwa...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi unaanzaje kuwashtaki Qnet?

    Hivi unaanzaje kuwashitaki QNET? Kikwelikweli kabisa QNET ni matapeli wanaotumia 'FEARS' za mtu kupitia njia ngumu ya kuupanda mlima mkali na mrefu kuyafikia mafanikio kwa kumpa 'shortcut' hewa! ... LAKINI, KWELI KABISA, HAWASHITAKIKI! Wanachofanya QNET ni biashara halali kabisa ya kumuuzia...
  5. JamiiForums Tanzania Tulishawaonyeni sana hapa JamiiForums kuwa hawa 'QNET' ni 'Matapeli' hamkusikia sasa ngojeni 'Wawanyoosheni' ili mkome

    WAATHIRIKA WA AJIRA ZA QNET WAANZA KUREJESHWA MAKWAO: Waathirika wa utapeli unaofanywa kupitia Kampuni ya Biashara ya Mtandao Q Net katika eneo la Mbezi Dar es Salaam wameanza kurejeshwa makwao kupitia operesheni maalumu inayofanywa na ofisi za wenyeviti a serikali za mitaa ikihusisha kuondolewa...
  6. JamiiForums Tanzania Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

    Habari wadau, niliwahi kuja na uzi hapa kuhusu D09 CLUB Miezi michache kabla haijapotelea kusikojulikana na nilishambuliwa sana na waliliwa pesa zao na bila kujua hatma yao wanarudishiwa vipi na nani. Leo naomba nije na mambo 30 usiyoyajua kuhusu Qnet. Qnet ni network marketing ambayo imevuta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…