pssf

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya miezi ya “Unremitted” katika michango ya PSSF inatusumbua Wanachama

    Kuna changamoto kubwa katika ufuatiliaji wa mafao ya PSSF. Kwa nini baadhi ya miezi huonekana kama unremitted wakati mfanyakazi anapochapishiwa Contribution Summary? Mara nyingi unakuta kuna miezi kadhaa ambayo michango yake haionekani. Kinachosikitisha zaidi ni kwamba ukienda PSSF unaelekezwa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kilio cha Wafanyakazi wa TAZARA baada ya mwaka kupita bila marurupu na baadhi yao mishahara

    Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, tunaomba utusikilize sisi wafanyakazi wa Tanzania-Zambia Railway Authority (TAZARA) upande wa Tanzania. Takribani mwaka sasa hatujalipwa baadhi ya stahiki zetu muhimu, ikiwemo mshahara wa mwezi wa nne mwaka 2025, allowance za miezi ya 8, 9 na 10 ya mwaka...
  3. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wanaotunza pesa za wafanyakazi wa serikali/Binafsi-pesa za kustaafu (NSSF/PSSF)

    Huu ni Ushauri tu ila najua kwasababu mtu mweusi ni mnyimina mbinafsi hamtaupokea kwasababu unagusa maslahi ya fedha Ni hivi, Wafanyakazi wa serikali/binafsi wanakatwa pesa yao kila siku kwa ajili ya mafao baada ya kustaafu ila ukweli ni kwamba pesa ile haizalishi chochote kile zaidi ya...
  4. JamiiForums Tanzania PSSF

    PSSSF ni nyi ni jipu, kwa nini mnashindwa kufuatilia kampuni ambazo haziweki mafao ya hiadhi za kijamii kwa watumishi, shida inakua nini au lengo lenu ni kuwadhutumu watumishi😡😡😡🤬🤬🤬 mnakera sana ninyi ndio mnategemewa kwa nini msioneshe msaada ?
  5. 4

    JamiiForums Tanzania Kuna taarifa, kwamba PSSF inahakiki watumishi na mbaya zaidi, imetangazwa kuwa uhakiki ni wa siku mbili

    Wakuu jf amani ya Mungu ikawe juu yenu, nawatakia mema katika mfungo wa ramadhani/ kwaresma kila mmoja kwa imani yake. Rejea mada Tajwa hapo juu. Tangu jana zimekuepo taarifa ,kwamba PSSF inahakiki watumishi na mbaya zaidi, imetangazwa kuwa huakiki ni wa siku mbili ,namanisha jana tarehe 20 to...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa nini psssf inaajiri kwa kujuana bila kutangaza ajira wala kuwapa kipaumbele wanaojitolea?

    Toka mfuko wa psssf uuangane 2019 hujawahi tangaza ajira lakini kila siku wanakuja wafanyakazi wapya ambao hawajafanya interview sehemu yeyote naomba kufahamu mfumo wa kuajiri upoje au kigeso ni mpaka uwe na ndugu.pia nimeshudia tukio moja la vijana waliokuwa wanajitolea kutoka TAESA wote...
  7. JamiiForums Tanzania Trump atawaumbua NSSF na PSSF

    Maelfu ya watanzania watakaokosa kazi kutokana na Amri ya Rais wa Marekani Donald Trupm, itawaumbua CCM jinsi wanavyoendesha serikali Kwa kutegemea kukopa toka kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii. Siku maelefu hayo ya watanzania watakapokwenda kuchukua fedha zao kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Nimeteuliwa kuwa msimazi wa mirathi, nimeambiwa hatutaweza kunufuika na mfuko wa PSSSF. Ni kweli?

    Nimeteuliwa kuwa msimazi wa mirathi wa Mali za mama mzazi, nilipofuatilia mafao yake (PSSF) nilijibiwa ya kuwa kama ameshapokea fao lake kustaafu pamoja na fedha za kila mwezi kwa kipindi cha miaka mitatu baada ya kustaafu basi sisi watoto hatutoweza kunufaika na mfuko huo. Kinachonishangaza ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…