priscus tarimo

Priscus Jacob Tarimo (born in Kilimanjaro) is a Tanzanian businessman and politician who was a former Ward Councillor for Kilimanjaro ward and presently serves as a Chama Cha Mapinduzi's Member of Parliament for Moshi Urban Constituency since November 2020. He is also a board member of Moshi Urban Water Supply and Sanitation Authority (MUSWA).

View More On Wikipedia.org
  1. R

    GE2025 Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Moshi Mjini kupitia CCM, Priscus Tarimo, ameibuka mshindi katika kura za maoni

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Moshi Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Priscus Tarimo, ameibuka mshindi katika kura za maoni za chama hicho kwa kupata kura 1,539 kati ya kura halali 3,288 zilizopigwa, na hivyo kutetea nafasi yake ya kuwania tena ubunge. Matokeo hayo yametangazwa leo...
  2. B

    GE2025 Moshi Tunahitaji Kiongozi wa Kweli mwenye matokeo ya maendeleo Sio Mtumwa wa Makundi

    Moshi Tunahitaji Kiongozi wa Kweli mwenye matokeo ya maendeleo Sio Mtumwa wa Makundi!!!! Katika kipindi hiki muhimu cha siasa Moshi mjini inahitaji Mbunge mwenye uzoefu, uwezo wa kiuongozi, rekodi ya utendaji uliothibitishwa na unao onekana kwa wazi, na moyo wa dhati wa kuwatumikia wananchi, si...
  3. GE2025 Aliyekuwa mbunge wa Moshi Mjini, Kilimanjaro, Priscus Tarimo achukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea tena

    Aliyekuwa mbunge wa Moshi Mjini mkoani Kilimanjaro, Priscus Tarimo amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge katika jimbo hilo. Tarimo amechukua fomu hiyo leo Jumapili Juni 29,2025 katika ofisi za CCM Moshi Mjini na kukakabidhiwa na kaimu Katibu wa CCM wilayani humo, Hilary Kipingi.
  4. B

    PreGE2025 Priscus Tarimo akabidhi gari maalumu la kubeba wagonjwa (ambulance) la pili katika Hospitali ya Rufaa ya Mawenzi

    PRISCUS TARIMO BINGWAA MAMBO UNAYO FANYA TUNA YAONA MBUNGE WETU ANAFAA HATUMUACHI IMETIKI NJE NDANI Mapema leo mbunge wetu PRISCUS TARIMO BINGWAA amekabidhi gari maalumu la kubeba wagonjwa ambulance la pili katika Hospitali ya Rufaa ya Mawenzi, mpaka sasa ameomba magari tano hapa Moshi Mjini na...
  5. B

    PreGE2025 Priscus Tarimo: Mrejesho na marejesho kwa kazi walizotutuma wananchi wa Moshi Mjini

    Huu ni muda wa mrejesho na marejesho kwa kazi walizotutuma wananchi wa Moshi mjini Kazi iendelee Siku ya Jumatano tumepokea gari ya pili ya zimamoto kutoka kwa Mji dada wa Marburg, Ujerumani na tunategemea gari jingine la tatu mapema mwaka huu. Tunawashukuru sana wadau wetu Marburg. Haya ni...
  6. C

    PreGE2025 LGE2024 Mbunge wa CCM Moshi Mjini, Priscus Tarimo aishtaki Bendi ya Polisi kwa tuhuma ya kufanya siasa

    MAPYA YAIBUKA MOSHI, NI BAADA YA MBUNGE KUSHITAKI BENDI YA POLISI Katika hali isiyo ya kawaida, Priscuss Tarimo ambaye ni Mbunge wa jimbo la Moshi Mjini amewashtaki watumbuizaji wa bendi ya Chuo cha Polisi Moshi (CCP) ambayo ilikuwa inatumbuiza kwenye sherehe ya Kumuaga binti wa Tajiri wa Moshi...
  7. Mbunge Priscus Tarimo alaani tukio la Idrisa Makishe kumwagiwa tindikali

    Mbunge wa Jimbo la Moshi mjini(ccm),Priscus Tarimo amelaani tukio la kada wa chama hicho ,Idrisa Moses Makishe(38),kumwagiwa kimiminika kinachoaminika kuwa ni tindika. Makishe kada wa ccm ambaye amekuwa mkosoaji mkubwa kwa viongozi wa ccm ambao wamekuwa hawaendani na falsafa ya chama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…