prince dube

Prince Mpumelelo Dube (born 17 February 1997) is a Zimbabwean professional footballer, who most recently played forward for Tanzanian Premier League club Azam and the Zimbabwe national team.

View More On Wikipedia.org
  1. Prince Dube alivyomzawadia Pesa Mwananchi Bandarini baada ya Dabi ya Kariakoo

    Mshambuliaji wa Young Africans S.C (Yanga SC), Prince Dube, alivyomzawadia pesa Mwananchi baada ya kutua bandarini Machi 2, 2026 akitokea Zanzibar na klabu yake kufuatia mechi ya dabi ya Kariakoo Jumapili ambayo ilimalizika kwa suluhu ya 0-0.
  2. Wanaomlaumu na kumshambulia Prince Dube ni watu wasiojua mpira

    Wachambuzi wasiojua mpira wanambagaza Prince Dube binafsi nabaki nawashangaa Sisi tuliocheza mpira na baadae tukapata course za coaching tunajua hata striker kukosa nafasi ya kukosa goal ni mzuri mno, Ile nafasi ni ngumu mno Wachambuzi wengi hawaoni potential ya Dube kwakuwa hawajui mpira...
  3. Pamoja na kelele zote kumbe Prince Dube mlimsajili kwa kumkopa

    Lipeni pesa za Dube mnajifanya kuchangisha pesa ya tofari kwani mnaujenzi gani? Au makombe yametoboka mnataka kuyajenga, haya tumeshajua hamna ela mmeanza kupitisha mabakuli et tofari la ubingwa 🤣🤣🤣 haya sawa mlipeni dube pesa zake. Sisi kama Simba sports club na sisi kama mabigwa Afrika ambao...
  4. Bado sielewi, kwanini Dube alipwe fedha nyingi kuliko Mzize?

    Hebu nisaidiane majibu! Kwanini mshambuliaji Prince Dube alipwe fedha nyingi kuliko Clement Mzize?
  5. Prince Dube ajiondoa katika mitandao ya kijamii

    Siku moja baada ya kuibeba Yanga SC kwa bao la dakika za majeruhi dhidi ya TP Mazembe, mshambuliaji Prince Dube amejiondoa katika mitandao ya kijamii. Hatua hiyo imewashangaza mashabiki na kuibua maswali mengi, hasa ikizingatiwa mchango wake katika kuokoa matumaini ya Yanga kwenye michuano ya...
  6. Mwezi July 2024 huyu Mwanayanga alimwonya Prince Dube na Aziz Ki. Wakakaidi

    Watu mapema walianza kumwonya Dube Mpomelelo kuachana na hizi show za kiduanzi. Akawa mbishi. Mtu akiwa kwenye mapenzi hasikii haoni. Huyu demu inasemekana. Wachezaji na viongozi wanapigiana pasi za upendo. Yeye anachojali ni mkwanja tu. Ila anahusika sana kusambaza gundu kwa wachezaji na...
  7. Hapa ndo Prince Dube alianza pata gundu. Kilichowamaliza nguvu wachezaji wengi wa Yanga

    Mademu. Kuna mademu walitumwa na mikia kuharibu wachezaji wetu. Kuwamaliza nguvu. Ndo UBAYA UBWELA ile. Hawa Simba waliamua kutumia hii kauli wao wakisema sisi tulikuwa tunanunua sana wachezaji wao. So wao Wamerudisha ubaya kwa style hii. Kuwaingizia mademu wengi wenye gundu Yanga. Hawa...
  8. Kuna uwezekano Prince Dube aliingia uwanjani akiwa na wenge la pombe ya usiku (hanging over) Yanga kuna tatizo kubwa.

    Mpaka sasanikitizama video za marudio ya mechi ya Yanga vs Al hilal nikiangalia jinsi ambavyo prince Dube alikuwa anaanguka peke yake bila kuguswa 😆 tena yupo kwenye position ya kufunga anaanguka kama walevi wa ambiance au K vant Mpaka wqchezaji wa Al hilal wakawa wanaonyesha ishara ya...
  9. Tetesi: Yanga walitibuana na Azam sababu ya Prince Dube Sasa wanatibuana na KMC sababu ya Moallin, KMC waapa kuwaonyesha wao ni nani

    Kuporwa Prince Dube kibabe ndio kulifanya Yanga na Azam wawe na beef hadi kupekekea video zao wakiroga na kujidunga dawa za kujiongeza nguvu zivuje hali iyopelekea kuhama huo uwanja kwakisingizio unajoto sana Sasa wamehamia uwanja wa KMC hata kabla hawajacheza mechi hata moja,wameshapora...
  10. G

    Kihasibu "Prince Dube" ni LIABILITY, Milioni 500 za kumvunjia mkataba na kumpa milioni 30 kila mwezi ni kipigo kizito kwa Yanga

    Wengi wanakurupuka kwenye kchaka cha Kibu Dennis, Kibu alijiunga simba akiwa mchezaji huru, Yanga walivmsajili Dube kwa milioni 500 Kibu yupo kwa miaka mitatu kashafunga sana anavumilika, Dube kashaanza kuonekana mzigo, havumiliki. Dube anangia Yanga analipwa milioni 30, Kibu kapambana sana...
  11. N

    Prince Dube kuanza kupachika mabao leo.

    Amani ya Bwana iwe juu yenu waungwana, tumsifu Yesu kristo, Mwanakondoo ameshinda , Asalaam aleykum.... Sina maneno mengi ila Prince Dube kuanza kufumania nyavu Leo katika mechi ambayo watoto wa jangwani watapata ushindi wa kuanzia mabao manne na kuendelea. Sasa tuache ubishi wa kizalamo ...
  12. Hamisa Mobeto ana kesi ya kujibu kushuka kiwango cha Aziz Ki, Chama ni mzee, ana mechi zake, Dube anazuzuliwa na pesa alizolipwa GSM

    Kipindi niko chuo boom likiingia hakuna kusoma mpaka liishe au itangazwe test,nitasomaje na accont ina milioni moja?milioni moja ndio,kwa miaka ile kwa mwanafunzi ni hela nyingi sana,kipato cha wanafunzi wa chuo kinazidi walinzi na vibarua wa viwandani. Huyo ndio Prince Dube,moaka hela za GSM...
  13. Prince Dube nae ametupiwa majini?

    Asipoangalia nae atamaliza msimu na magoli matatu Amesajiliwa kwa hela nyingi sana,shida nini? Umekuwa galasa kuliko Sarpong na Moringa
  14. Dube wa Yanga ni garasa shtukeni

    Prince Mpumelelo Dube mpaka sasa hajaonesha makali yaliyotegemewa wakati anajasajiliwa Yanga. Dube amezungukwa na wachezaji wazuri ila magoli kafunga machache sana mpaka sasa. Wakati Ateba kaja juzi ni mashine na gumzo la nchi. Tunaanza kumjadili saa ngapi huyu Dube kama garasa pale Jangwani?
  15. Nimeshangaa Mchambuzi TV-E anasema Dube anapigwa misumari( kurogwa) pale Yanga

    Tanzania vituko haviishi yaani Mchambuzi aliyesoma akiwa live kabisa. Anasema Dube kukosa nafasi ni laZima analogwa na washambuliaji wenzake akina Musonda, Mzize na Baleke Huyu bwana haamini katika mpira hajui mpira wa Sasa ni sayansi. Yaani ligi imechezwa mechi 1 na mechi 2 za CAF jamaa...
  16. M

    Dube awaahidi makubwa Yanga

    Mshambuliaji wa timu ya Yanga SC Mgadafiprince ametoa shukrani kwa uongozi wa timu oamoja na mashabiki wa yanga kwa kumpa sapoti tangu kujiunga kwake na timu hiyo, aidha mshambuliaji huyo amewaahidi wanayanga kuwafanyia makubwa kwenye michezo inayofuata ya kitaifa na kimataifa baada ya kupata...
  17. Takwimu za Prince Dube striker mpya wa Yanga

    Prince Dube, muuaji anayetabasamu katika misimu minne aliyokuwa akiitumikia Azam FC alifanikiwa kufunga magoli 34 ndani ya Ligi Kuu 🇹 🗓️ 04 Misimu ⚽️ 34 Mabao Mwana Mfalme ni mali ya Wananchi My Take Dube kapendeza sana jezi ya Yanga
  18. Prince Dube Asajiliwa Dar Young Africans

    Mchezaji Bora katika kutoka Azam Fc Prince Dube amesajiliwa na mabingwa wa kihistoria Dar Young Africans. Young Africans waendelee kuimarisha timu kwa kufanya Usajili makini bila kukurupuka. Prince Dube amesajiliwa ataitumika Dar Young Africans kwa miaka miwili, Prince Dube anauzoefu mkubwa...
  19. Yanga wasijidanganye kwa Dube, watafute kinara wa Ushambuliaji

    Klabu ya Yanga inahusishwa kumsajili aliyekuwa mshambuliaji wa Azam fc Prince Dube baada ya mchezaji huyo kumalizana rasmi na timu hiyo lakini hapo awali kulikuwa na tetesi nyingi sana kumuhusu Dube kujiunga na Yanga lakini pia Simba. Mimi naomba nishare nanyi kidogo kwa kile ninachokiona...
  20. Tetesi: Prince Dube atia saini rasmi kuitumikia Yanga kwa miaka 2

    Baada ya Timu ya Azam kumalizana rasmi na aliyekuwa mchezaji wao Dube, taarifa ni kwamba Dube ameshatia saini kuvaa uzi wa Mabingwa Yanga katika kipindi cha misimu 2 kuanzia Msimu 2024/2025. Wadau wa Soka hapo vipi? ==== Pia soma: Azam FC yakubali kuvunja Mkataba na Prince Dube
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…