press ya polepole

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2025 Polepole: CCM wanakwenda kwenye Uchaguzi sababu wana uhakika kushinda kwakuwa kuna mifumo inawabeba

    https://www.youtube.com/live/QhmqcI-asWc?si=VAYw0M7vJFDx-3-A Polepole : Viongozi wanakwenda kwenye uchaguzi sababu wanauhakika kushinda uchaguzi sababu kuna mifumo inawabeba Mfumo unaotumika kuiba uchaguzi kwa sasa ni NIDA, na ndio lengo ambali serikali ya Samia inayotaka kutumia kushinda...
  2. Leo ni leo asemaye kesho muongo. Polepole kuongea na Watanzania saa mbili kamili usiku! Usikose!

    Wanabodi, Saa hizi ni saa 12 :00 asubuhi, kumekucha na makucha yake! Siku ya leo, tarehe 21,leo ndio siku ya siku, imebatizwa jina la ”The Twenty First to remember!”, yaani ni ”Ishirini na moja ya kukumbukwa!”。 Saa mbili kamili usiku,yule Mwamba Humphey Polepole anapanda live kupitia...
  3. Upinzani wa Tanzania bila press ya Polepole, Mpina na Askofu Gwajima hawana chakuongea wanabaki wanaangaliana tu

    Upinzani hawana hoja siyo wabunifu, wanatafutiza tafutiza tu hoja. Gwajima anawatapeli wanachekelea tu hebu kuweni na akili, you have to be innovative jifunzeni kujitegemea jengeni hoja Kama mnazo lakini kwa serikali hii ya awamu ya 6 hakuna hoja kwasababu kila kundi limetatuliwa changamoto...
  4. R

    Balile amekacha press ya Polepole bila kutoa taarifa. Nilisema huyu ni chawa anatetea tumbo lake

    Huyu ni chawa kama machawa wengine wanao tetea matumbo yao bila kujali haki na tanuru la uvuli wa umauti wanayopitia watanzania!. Amekacha press kuogopa mishale ya maswali (tulitayarisha maswali ya kumuuliza na yeye apart kuwa alialikwa kuuliza maswali) akihofu anaweza kuteleza ulimi akajibu...
  5. Kama Ccm umejiunga nayo ulivyofika Chuo Kikuu huwez kumuelewa Polepole.

    Huwez kujibu hoja za polepole kama wewe ulijiunga na Ccm ulivyofika chuo kikuu na ulijiunga kama fashion. Ndio wengi wamebaki midomo wazi kwa yale aliyoyasema polepole. Polepole haujui tu Katiba wala kanuni za chama cha Ccm bali anajua hadi Miiko ya chama cha mapinduzi {Ccm} ambayo hua...
  6. Millard Ayo kutopost habari za press ya Polepole ina maana gani?

    salamu wakuu, mbona jamaa yetu wa mawinguni hajagusa chochote kuhusu habari inayoshika nafasi kubwa hivi sasa ya bwana Polepole, nini shida? anaogopa? au anaona akippst, hatopiga picha na rais.?
  7. Muhtasari wa mkutano wa Humphrey Polepole

    SUMMARY YA PRESS YA POLEPOLE @AbroadTanzania 1. Pole pole amemkataa Mgombea wa CCM Ataja kikwete kuvuruga mchakato, asema Utaratibu ulivunjwa, ataka wagombea wawe wengi siyo mmoja. 2. Asema SERIKALI ya Samia ni Kama Nyumba ambayo haina mwenyewe hakuna mwenye kauli ya kimamlaka. 3. Asema...
  8. Polepole: Nimeshindwa kutumia Youtube kutokana na 'restrictions'

    Balozi Humphrey Polepole ambaye alipanga kufanya mkutano na waandishi wa habari kupitia Zoom Meeting na kushindikana kutokana na changomoto ya kusikilizana, na baadaye alipotaka kutumia YouTube akakumbana 'Restrictions' kama alivyoeleza, akiongea Mbashara kupitia Facebook.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…