Chama cha NLD kimeahidi kupunguza posho za wabunge na badala yake fedha hizo zitaelekezwa katika kuongeza huduma za afya pamoja na kupandisha mishahara ya kada ya ualimu na askari.
Ahadi hiyo imetolewa na mgombea Urais wa chama hicho Doyo Hassan Doyo wakati akizungumza na wakazi wa Kibamba, Dar...
Wakuu,
Posho 620,000 kwa siku mshahara 18,000,000 still wanasema pesa ndogo na bado wanataka walipwe kwa dollars kweli alieshiba hamuoni mwenye njaa
Wakienda majimboni hakuna Kazi wanayofanya miundombinu ni mibovu, ajira hakuna tozo na kodi kubwa kila siku tunagombana na kina mangi madukani...
"Sisi posho siku moja tu bungeni tulikuwa tunalipwa laki nne, halafu Mwalimu kwa mwezi unamlipa laki 4"
Soma, Pia: John Heche: Mbunge analipwa Milioni 20 kwa mwezi na posho ya laki 6 kwa siku. Nchi hii inaibiwa sana!
Wakuu,
Akiwa anaongea siku ya leo, Heche ametaja kiwango ambacho mbunge analipwa kwa mwezi
Heche anasema nchi hii inaibiwa na imedumaa
Soma, Pia: Martin: Wabunge wanalipwa posho zaidi ya TSh. Milioni 86 kwa siku Bungeni Dodoma. Ama kweli Siasa ni Mchongo!
Anaandika Martin Maranja Masese, Mtikila
Waziri Mkuu, Naibu Waziri Mkuu, Mwanasheria mkuu wa serikali, Spika wa bunge, Naibu Spika wa bunge, Mawaziri na Wabunge wote, wanalipwa posho ya kujikimu (perdiem) kwa siku ni Sh220,000.
Jumla ya idadi yote ya wabunge ni 393. Wabunge wa majimbo ni 264...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.