pombe na ulevi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Vijana wenzetu Kaskazini wanateketea kwa ulevi, Serikali lione hili kuokoa hiki kizazi

    Habari za muda wana JF Nipo Moshi huku kuna Msiba wa Ndugu yangu Mmoja. Ujue Nikijaga Moshi mara nyingi ni December na huwa ni Muda wa Sherehe sikunotice hiki kitu. Nimekuja sasa hivi nimegundua Moshi vijana wengi nadiriki kusema zaidi ya 70% ni walevi wa hizi Pombe maarufu kama Vichungu au...
  2. Nchi za wenzetu huko matumizi ya pombe ni ruksa maofisini?

    Naona kwenye movie zao wazungu unaingia ofisini kwa boss kabla hamjaanza maongezi unashangaa anafungua kabati anatoka na ka whisky au ka wine una pewa toti mbili glass nusu ili kulegeza kidogo ubongo ndipo mnaanza maongezi yaani kiroho safi kabisa. Hata police ukienda ku report tukio unafika...
  3. Janga la pombe kali na anguko la kizazi: Kilio cha wazazi na hatari kwa Taifa

    Katika kila kijiji, mitaa na miji ya Tanzania, kuna kilio kinachoumiza mioyo ya wengi, lakini hakuna anayekisikia. Ni kilio cha wazazi waliokatishwa tamaa, wakiona vijana wao wakiteketea katika wimbi la pombe kali zinazouzwa kiholela. Vijana waliopaswa kuwa nguvu kazi ya taifa, faraja ya wazazi...
  4. Unamheshimu mdada vizuri tu, kumbe analewa

    Sio kulewa tuu yaani anakwenda mpaka disco na anaweka status anavyo bambiwa. I don't know hawa watoto wana shida gani ni malezi au ndo kujiendekeza tu.
  5. B

    Furaha ya Kweli haiji kwa ku Boost na Pombe au ulevi. Furaha ya kweli haihitaji Gharama

    True happyness does not demand expensive stuff. Watu wengi duniani hawana furaha, hivyp basi inawalazimu kuforce Furaha ije hata kwa kiki ya piki piki. Watu wafuatao hawana fursha hata kama wanajifaragua na makeke mengi. 1. Mtu anayehitaji kunywa pombe sana na vilevi vikali 2. Watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…