polisi

  1. Mtwara: Mapambano ya Polisi na Jambazi mwenye silaha; Raia ameuwawa, askari amepigwa risasi

    Wakuu jioni hii hapa Newala(Mtwara) limetokea tukio la Jambazi mwenye silaha kuvamia kituo cha mafuta Kiduni na kupora fedha. Wakati anaondoka eneo la tukio kaua Raia mmoja, hata hivyo wananchi wenye hasira walimfuatilia jambazi huyu ambaye alishindwa kutoroka baada ya mtu mwenye pikipiki ambaye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…