Bado tunaomboleza. Na tunatafuta miili ya ndugu zetu waliouwawa kwa risasi. Illegitimate President yuko ofisini siku ya pili. Hajajutia mauwaji aliyoyafanya. Wala kuomba msamaha. Au kuwafariji wafiwa na Taifa.
Ameona ampe kesi ya UGAIDI John Heche. Heche ameshikiliwa kwa siku 11 kwa tuhuma za...
Wakuu,
Msafara wa Makamu Mwenyekiti Bara Mhe. @HecheJohn umezuiwa na Jeshi na Polisi muda akiwa maeneo ya Selandar Bridge usiende Mahakama ya Hakimu Mkazi kufuatilia mwenendo wa kesi ya Uhaini inayomkabili mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @HecheJohn leo tarehe 24, 2025 na kupelekwa Kituo cha...
Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika ametakiwa kuripoti Kituo cha Polisi Oysterbay Dar es Salaam kwa ajili ya mahojiano, Wakili wa chama hicho amethibitisha.
Akizungumza na Mwananchi Digital leo Septemba 12, 2024 Wakili wa Chadema, Hekima Mwasipu amesema kiongozi huyo ameitwa na Ofisa Upelelezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.