polisi mwanza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PostGE2025 Polisi Mwanza: Limewatia mbaroni watu 116 wanaodaiwa kuratibu maandamno ya Desemba 9

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limewatia mbaroni watu 116 wanaodaiwa kuratibu mipango ya kufanya maandamano yasiyo rasmi tarehe 9 Desemba mwaka huu, tukio linalotajwa kuwa na viashiria vya uvunjifu wa amani. Akizungumza na Wanahabari, Desemba 6, 2025 katika kituo kikuu cha Polisi kilichopo...
  2. R

    Polisi Mwanza wakamata wahalifu 12 waliojificha mapangoni

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza Iimewakamata na kuwatia mbaroni watuhumiwa 12 wanaodaiwa kuwa wahalifu, wakiwa wamejificha kwenye mapango yaliyomo Mkoani humo, huku wakidaiwa kuwa na vifurushi vya bangi. Akizungumza wakati wa doria hiyo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, DCP Wilbrod Mutafungwa...
  3. Polisi Mwanza wapokea Boti ya Mwendokasi yenye thamani milioni 400 ili kufanya kwa Doria Ziwa Victoria

    Jeshi la polisi mkoani Mwanza limepokea boti ya mwendokasi itakayotumiwa na kikosi cha polisi wanamaji kwaajili ya Doria katika ziwa victoria hatua inayolenga kupambana na vitendo vya kihalifu pamoja na kudhibiti uvuvi haramu. Boti hiyo iliyogharimu zaidi ya shilingi milioni mia nne itasaidia...
  4. GE2025 Polisi Mwanza Wawakumbusha Mgambo Kuheshimu Sheria Kipindi cha Kampeni na Uchaguzi

    Jeshi la polisi mkoa wa Mwanza limewataka askari wa jeshi la akiba (Mgambo) kuhakikisha wanafanya kazi kwa kufuata sheria na taratibu za nchi hasa katika kipindi hiki cha mikutano ya kampeni na kuelekea siku ya tarehe 29 ya mwezi wa kumi ambapo itakuwa siku ya kupiga kura ya kuchagua Madiwani...
  5. Mfalme Zumaridi akamatwa na Polisi Mwanza

    Jeshi la polisi mkoa wa Mwanza linapenda kutoa taarifa kuwa leo tarehe 15.05.2025 majira ya saa nne asubuhi huko mtaa wa Buguku, kata ya Buhongwa, wilaya ya Nyamagana, limemkamata na linaendelea kumhoji Diana Edward Bundala ambaye pia hujitambulisha kwa jina la Mfalme Zumaridi, miaka 42, mkazi...
  6. Polisi Mwanza: Tunachunguza tukio la kutekwa kwa Katibu wa Bavicha Mwanza

    Jeshi la Polisi Tanzania limeeleza kuwa linafanyia uchunguzi madai ya kutekwa kwa Katibu wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Mkoa wa Mwanza, Amani Manengelo (30). Inadaiwa kuwa Manengelo alichukuliwa na watu wanne kutoka nyumbani kwa rafiki yake, Jovin Thomas (32), ambaye pia ni Mwenyekiti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…