Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Patrobas Katambi amesema Serikali wala jeshi la polisi haliteki bali linakamata
Serikali haiteki" bali "serikali inakamata mhalifu. Ikiwa mtu amekamatwa na vyombo vya dola, huo unaitwa ukamatwaji na si utekwaji.
Soma Pia: Katambi: Tuwatie moyo askari...