pokeeni maua yenu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. shibela

    Answar sunna pokeeni maua yenu

    Habari za asubuhi Hawa waislam wa Ansal sunn sijui ndo inaandikwa hivyo wale wanaovaaga don't touch my shoes aisee wengi wao ni waaminifu ukifanya nao biashara! Nimeshafanya biashara na wa hivyo zaidi ya watatu nabaki na hela Yao au wao wanabaki na ya kwangu na hatujawahi kuzinguana...
  2. Binti wa zamani

    Wanaume leo naomba niwape maua yenu

    Jamii zetu za kiafrika zimeweka mzigo mkubwa sana kwa mwanaume. Naomba kutambua mchango wenu na kuwapa maua yenu kama ishara ya shukrani. Shukrani za dhati ziwaendee; 🌹 Wanaume wanaoweka juhudi katika kazi zao halali, wakifanya kwa uaminifu na kujituma ili kujenga maisha bora kwao na familia...
Back
Top Bottom