pilipili mwendokasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    Msaada wa kilimo cha abanora (pilipili mwendokasi)

    Habari zenu wadau, Nimejaribu kulima pilipili za mwendokasi, japo nilizichelewesha kwenye kitalu lakini nimezipanda zikashika vizuri zikakutana na kiangazi zikala jua la kutosha la Dar then ilipokuja mvua ziaanza kutoa pilipili kiasi lakini kipindi chote sijaiweka dawa wala mbolea zaidi ya...
  2. P

    Naomba madawa Pilipili mwendokasi

    Habari za Ijumaa kuu ndugu zangu, Nilipata ushawishi toka kwa jirani yangu baada ya kuona nipo na eneo kubwa nifanye kilimo kitanitoa hii ni baada ya kupoteza kazi ili niachane na kuombaomba,sasa nilinunua 10gm nikaotesha kwenye kitalu japo nilichelewa kuziamisha lakini zilienda vizuri shida...
  3. Fbn

    Kwanini pilipili za mwendokasi zina bei ndogo ukilinganisha na aina nyingine sokoni?

    Kwa mliokwenda nchi za nje mfano bara la asia uwezi kuziona hizi pilipili za mwendokasi. Mfano China ni walaji wazuri wa pilipili, ukikutana nao sokoni uwezi kuona wananunua hii jamii ya pilipili kwa jina mwendokasi. Wao hujikita na pilipili ambazo sio wageni tukiona kwenye mapishi yao na...
  4. zyuho

    Pilipili Mwendokasi imesimamaje sokoni?

    Ndugu wanajamvi naona kilio kwa wakulima wa nyanya na nyanya chungu, very soon naanza kutoa mzigo wa pilipili shambani maeneo ya kilosa, vipi kwa upande wa pilipili sokoni imesimamaje. Wadau mwenye taarifa anijuze
Back
Top Bottom