Sio mpenzi sana wa TV ,Leo tarehe 2 nipo nyumbani nikaona niangalie habari ITV.
Sasa naona tangazo la Tanesco linaitwa pika kwa umeme,Yani wanajisifu majiko yana tumia unit ndogo yana uzwa tanesco.
Ina maana Tanesco wameshindwa kutatua shida za umeme kufanya umeme kununulika kwa unit ndogo...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Doto Mashaka Biteko akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa programu ya utoaji majiko ya umeme kwa bei ya ruzuku kwa wafanyakazi wa TANESCO katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre, Dodoma amesema bado kuna ziada kubwa ya Umeme nchini ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.