picha ya rais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mvutano wa kisheria, tuhuma ya msanii aliyechoma picha ya Rais

    Kwamba hata yule kijana aliyekamatwa Rungwe kwa kosa la kuipiga kiberiti picha ya Rais Samia, hana kosa lolote na hata wakamataji hawajui wampachike kesi gani, maana kwa katiba ya Tanzania kitendo kile ni sawa na mtu kuokota makaratasi ili awashie mkaa kwenye jiko lake. Inadaiwa kukamatwa kwake...
  2. PreGE2025 Mbeya: RC Homera aagiza kukamatwa kwa kijana aliyemkashifu Rais Samia na kuichoma picha yake

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya ametoa masaa 24 kutiwa mbaroni Kwa Kijana mmja huko Wilayani Rungwe ambae inadaiwa amemkashifu Rais Samia na Kuichoma Picha yake. My Take Naunga mkono hoja, upumbavu wa tabia za kihuni za kuiga ukomeshwe na usiruhusiwe hapa Tanzania. Mnaweza kupinga Kila kitu kadiri...
  3. Kuna sheria inayohitaji kuweka picha ya Rais kwenye ofisi za serikali au binafsi?

    Kwenye ofisi za serikali karibia zote, biashara na ofisi nyingi binafsi huwa kuna picha ya Rais imetundikwa ukutani, hii huwa ni kwa mujibu wa sheria au maamuzi binafsi tu ya wenye ofisi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…