Tume normalize mipaka iliowekwa kati ya ufuska na ukawaida
Tume haribu kuta zilizokuwa zimewekwa kati ya utupu na watoto wetu.
Hauwezi piga picha ya namna hii alafu mtoto wa umri huo mipaja imetoka na ameishikilia. Mipaja hii itaonekana katika public, yani akionwa huyu dogo anakumbukwa na...