pesa za samia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. technically

    Je, Mange kachukua pesa za Samia?

    Nina wasiwasi na huyu mdada inawezekana kashachukua pesa Analeta story za maandamano tarehe 25 yaani siku ya Christmas? Serious? Yaani watu waache kusherekea sikukuu za mwisho wa mwaka wafungiwe Tena ndani? Hapana me nakataa maandamano yaendelee kesho mpaka kueleweke Na kila msaliti yeyote...
  2. Cute Wife

    GE2025 Mwananchi: Samia ni Rais kweli lakini haonekani! Si anawapa hela akina Harmonize na Shomari Kapombe, hao ndio wakampigie kura!

    Wakuu, Mwananchi anahoji kwanini Samia anasaidia matajiri wakati kuna watu kibao wa hali chini wanaohitaji msaada huo zaidi? Anakaa kutoa hela kwenye goli la mama, mara kumwaga hela kwa wasanii na kuacha watanzania wakifa kwenye umasikini wa kutupwa! Kwa namna hii hakuna Rais anayeitwa Samia...
Back
Top Bottom