Wakuu naomba kuuliza, ivi pesa inayolipwa as mishahara kwa watumishi ni pesa unayopatikana ki halali?, mfano labda pesa zinapatikana kupitia kodi labda tuseme kodi iliyokusanywa katika makampuni ya michezo ya kubahatisha, sasa zichukuliwe zile pesa zije zitumike labda kulipa mishahara kwa...