Wadau wa mahusiano...mimi nilikutana na rafiki wa kike huko field sikuwa namfahamu japokuwa nimesoma chuo anachosoma ...nilikuwa mwaka wa pili 2017 yeye akiwa mwaka wa 1! Tulikaa nyumba ya kupanga yenye get moja tofauti chumba. Tulianza mazoea hapo siku ya kwanza nilimuona binti mstarabu sana...