Mwigizaji na mfanyabiashara mashuhuri nchini Tanzania, Irene Uwoya, ameongeza msisimko kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuonyesha ishara za wazi za mahaba na Mkurugenzi wa duka la mavazi la Room of Jeans, Dominic Mmasi, kupitia sehemu ya maoni (comments) kwenye mtandao wa Instagram.
Gumzo...