pembejeo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Don K. “Mayaula Mayoni”, kiongozi wa Genge la wahalifu wa Pembejeo na bei ya korosho mikoa ya Kusini

    Serikali ifike mahali iondoe mfumo wa stakabadhi ghalani kwenye korosho. Genge la walanguzi wa Don K. Mayaula Mayoni. Mayaula Mayoni Don K ni mwenyeji wa mikoa inayolima Korosho, alipaswa kuwa sauti yetu sisi wakulima wa korosho. Ambao hatuhitaji korosho nyingi ila tunahitaji soko bora la...
  2. JamiiForums Tanzania Chunyu Ruangwa, Lindi: Msaada wa pembejeo za korosho unapewa chupa moja na nusu

    Sina maneno mengi Swali langu kwa Mheshimiwa waziri wa kilimo mimi nina mikorosho zaidi ya 40 wengine wana mikorosho zaidi ya 100 lakini unapewa chupa moja ya salfa ya maji na chupa moja ya wadudu mnagawana nusu kwa nusu watu wawili. Kama lengo kumsaidia mkulima chupa moja na nusu itamsaidia kweli?
  3. JamiiForums Tanzania Zoezi la ugawaji wa pembejeo kwa wakulima, RC Mtwara wabane sana viongozi wa vyama vikuu vya ushirika kuna mchezo wanaucheza

    Zoezi la ugawaji wa pembejeo Kwa kiasi kikubwa linatiwa dosari na viongozi wa vyama vikuu vya ushirika. Wengi wao wanahujumu pembejeo za wakulima Kwa kujilimbikizia viwatilifu na kuviiza. Lakini pia waangalie Kwa umakini maafisa ushirika Kuna mchezo wanaucheza Kwa kushirikiana na makatibu wa...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya China yaimarisha kilimo vijijini barani Afrika kwa pembejeo nafuu na bora

    Na Kelly Ogome Zaidi ya nusu ya wakazi wa Afrika wanategemea kilimo. Ripoti ya benki ya dunia ya mwaka wa 2018 inaeleza kuwa asilimia 4% ya pato jumla la dunia linatokana na kilimo, huku nchi zinazoendelea kama za Afrika zikitegemea kilimo kwa zaidi ya asilimia 25%. Aidha ukame, mvua kidogo...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Eti ni kweli kuna mafunzo napaswa nipite ili nifungue duka la pembejeo za kilimo?

    Nahitaji kuanzisha duka la pembejeo za kilimo elimu yangu ni diploma ya social work Naomba kuuliza je? Eti ni kweli ni lazima nipitie mafunzo mafupi ili kufungua duka la pembejeo za kilimo, Na kama yapo je hugharimu kiasi gani cha gedha na kwa muda gani na yanapatikana wapi hayo mafunzo...
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta Mashine ya kupandia nafaka

    Habari wanajukwaa, Naomba kufahamishwa ninapoweza kupata hii mashine ya kupandia mbegu kama alizeti, ufuta, mahindi nk. Seed Planter Video Eneo nilipo ni Dar es salaam. Ni vyema zaidi tukafahamishana na gharama iwapo inajulikana.
  7. W

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amepiga 'hat trick' kwenye Korosho

    Na Emmanuel J. Shilatu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amepiga 'hat trick' kwenye zao la Korosho katika mambo yaliyokuwa kero na vilio vya siku nyingi vya Wakulima. I: PEMBEJEO Rais Samia ametatua kilio cha Wakulima cha pembejeo ambapo Safari hii pembejeo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…