pekee

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe ni bilionea pekee aliyebakia kwenye siasa za majukwaani. Je, atapigania Katiba Mpya hadi mwisho?

    Mabilionea wengine walishaachana na siasa za rejareja wakiwemo Rostam Aziz, Mo Dewji, Yusuf Manji na Mkono na sasa amebakia " MWAMBA" Freeman Mbowe wa Chadema. Je, Mwamba atatuvusha kwenye katiba mpya au atatuacha njiani? Nawasalimu kwa jina la JMT.
  2. JamiiForums Tanzania Je, wamjua Binadamu anayeongoza kufanya mema na binadamu anayeongoza kufanya mabaya duniani?

    Binadamu tumeumbiwa mapungufu na kila mmoja ana yake. Ila tumezidiana kwa kiwango fulani.. Kuna mwingine anapenda kula chakula kingi...ila hapendi kuona mtu kavimbiwa. Kuna mwingine anapenda muziki mzuri ila hawapendi wanamuziki. Kuna mwingne anapenda dini sana lakini hapendi kushiriki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…