Pape Bouna Thiaw (born 5 February 1981) is a Senegalese professional football coach and a former player who played as a forward. He is the manager of the Senegal national football team.
CAF imesema tabia hiyo ni “unacceptable behaviour”.
Thiaw atasimamishwa (suspension), idadi ya mechi bado haijatangazwa.
CAF inachunguza video zote, na kuna uwezekano wa adhabu zaidi kwa maofisa au wachezaji.
My take:
Senegal wanapaswa waondolewe ushiriki wa kombe la dunia maana walionesha...
Kocha wa Timu ya Taifa ya Senegal Pape Thiaw ameomba radhi mashabiki wa soka baada ya mchezo wa Fainali ya Kombe la Mataifa Barani Afrika (AFCON) kumalizika wakiibuka mabingwa.
"Hatukukubali kilichotokea sitaki kuchunguza matukio yote, Ninaomba radhi kwa soka" - Pape Thiaw
Kocha Pape Thiaw...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.