Tangu kuanzishwa kanisa katoliki halijawahi kutoa papa anaetokea Afrika, japo walikuwepo wachache wenye asili ya kiafrika na ni zamani sana huko.
Je ni wakati sahihi kwa Afrika kwa mara ya kwanza kuongoza kanisa hilo?
Vip nafasi ya mapadri kutoka Tanzania na Afrika kwa ujumla kuongoza kanisa hilo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.