HUYU NDIYE PAPA MPYA.
Robert Francis Prevost, aliyezaliwa tarehe 14 Septemba 1955 mjini Chicago, Marekani, ni Papa mpya wa Kanisa Katoliki, Anachukua jina la Papa Leo wa XIV. Kuchaguliwa kwake mnamo Mei 8, 2025, kunamfanya kuwa Mmarekani wa kwanza kushika wadhifa huu katika historia ya miaka...