pablo

Pablo is a Spanish form of the name Paul.

View More On Wikipedia.org
  1. Mtego Muhimu kwa Kocha wa Simba SC Pablo ambaye pia anatakiwa sana na Orlando Pirates FC wasio na Kocha Mkuu kwa sasa

    Akiivusha Simba SC kwenda Nusu Fainali ya CAFCC dhidi ya Orlando Pirates FC atakuwa ameponya Kufukuzwa (kuwa Sacked) Msimbazi, ila tayari Matajiri wa Orlando Pirates FC nao wameshampa Ofa (tena Kubwa tu) kama akikubali kutua Kwao muda wowote kuanzia sasa. GENTAMYCINE ningekuwa ndiyo Kocha Pablo...
  2. N

    Asante kocha pablo kukataa offer ya orlando pirates

    Amini usiamini Pirates wamefanya vizuri kwenye kundi lao lakini mashabiki wao hawana imani na wachezaji wengi team na haswa kocha wao sasa kumbe CEO wa pirates alikuwa busy kumpa offer nono Bwana Pablo ambaye kakataa akiamini analo jukumu la kukamilisha simba Siku nasikia kocha huyu wa zamani...
  3. Ningekuwa ndiyo Kocha Pablo kwa Mechi Muhimu ya Leo wala nisingepoteza muda badala yake 'ningejilipua' tu 'mazima' na Kikosi changu hiki...

    Kikosi cha Kuanza (cha Maangamizi) 1. Aishi Manula 2. Shomary Kapombe 3. Mohammed Hussein Tshabalala 4. Henock Inonga 5. Joash Onyango 6. Jonas GENTAMYCINE Mkude 7. Pape Ousmane Sakho 8. Rally Bwalya 9. Kibu Denis 10. Meddie Kagere 11. Peter Banda Wa Akiba wawe hawa 1. Beno Kakolanya 2. Israeli...
  4. Kwa 'Visa' ambavyo Kocha Nabi anawafanyia Yanga SC sasa niseme tu Kocha Pablo 'out' na Yeye 'Msimbazi' kunamkaribisha

    Kila kukitokea tu 'Break' ya FIFA Calendar Kocha Nabi atataka Kuondoka kwenda Kwao au Ubelgiji na huwa hahitaji Yanga SC imlipie Tiketi ball kuna Mtu Mmoja upande wa Pili ndiyo humgharamia. Mara kwa mara Kocha Nabi amekuwa akiombwa Kujikita zaidi na Yanga SC Kimafunzo ila Yeye kila ambapo Klabu...
  5. N

    Mahaba ya Pablo kwa Dennis Kibu yanatisha aisee

    Yule kijana sidhani kama ame recover vizuri kuchea mechi ngumu hivi, kama unampenda sana subiri mechi za kmc au geita gold umuweke huko siyo mamechi ya kimataifa haya Mr pablo kuwa serious bana kumbuka Cecafa zone wanaitegemea simba sc
  6. Pablo aletewa kocha mpya Simba

    Picha: Arno Buitenweg akisalimiana na mwenzake KIKOSI cha Simba kilichokuwa uwanjani mjini Niamey, nchini Niger usiku wa Feb 20 ilipokuwa ikimalizana na US Gendermarie, kinajiandaa kuanza safari kuifuata RS Berkane ya Morocco, huku kocha mkuu wake, Pablo Franco akimleta fundi mpya. Mbali na...
  7. Mpira ni strategy and plan ila Pablo hana

    Tusitafute plan kocha hana mbinu ya kusoma mchezo,maana wachezaji ndo wanaopokea maelekezo kwa Kocha. Baada ya mechi ya jana Francis Baraza alisema, tulipoingia uwanjani tulijua Simba wana mpira mwingi wa kuanzisha, na wakaingia na viungo wengi, mbinu yao ikawa kuwadhiti kipindi cha kwanza na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…