Muimbaji mashuhuri wa muziki wa Afro-pop kutoka nchini Kenya, Otile Brown, amezua gumzo kubwa kwenye mitandao ya kijamii baada ya kutoa kauli nzito dhidi ya msanii mwenzake, Jovial, akiitaka familia na waandaaji wa msiba wake kumzuia Jovial kuhudhuria mazishi yake pindi atakapofariki dunia...