Hello JF
Away from Ndugai news.
Leo nimejikuta nawaza kwa nini viongozi wasipewe option ya kutumia lugha ambayo ni rahisi/wako comfortable nayo kuitumia?
Najua kingereza ni kama PRIDE fulani, always tunamu admire mtu mwenye kingereza kilichonyooka ila tunasahau muundo wetu wa elimu ni mbovu...