ongeeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Mzee Butiku na Warioba, Ongeeni kuhusu Polepole kudaiwa kutekwa

    Mkikaa kimya wakati kijana wenu katekwa, ina maana mmemsaliti. Na huenda nyie ndio mmetoa taarifa za uwepo wa Polepole TZ. Hasa mzee Butiku, Watanzania tunafikiri Wewe ndiye umemsaliti Polepole. Na kimya chako kinazidi kutu fanya tuendelee kuamini hivyo.
  2. Simba SC hapa hapa JF nilishawahi kuwaambia ongeeni na Nabi ili mumchukue mkanipuuza, hatimaye baada ya Kipigo juzi mmeanza kuzungumza nae aje

    Mkimpata kila la kheri atatusaidia kwani ninamuona ni bora mara mbili ya Fadlu ila Fadlu ni Kocha wa Kimataifa pekee.
  3. D

    TFF ongeeni na bodi ya uwanja Zanzibar mtoe taarifa kwamba uwanja wa amani upo kwenye marekebisho mtume CAF

    Fanyeni namna uwanja wa amani complex uwe kwenye marekebisho. Ili uwanja wa benjamini mkapa upate nguvu ya kupewa kipaumbele katika michezo ya CAF Ukiachana na mapato ya uwanja lakini michuano ya kimataifa inaitangaza Tanzana. Lakini pia mafisadi mujifunze kuwa ujanja ujanja na upigaji katika...
  4. Wazazi zungumzeni na watoto wenu kuhusu Ubakaji na Ulawiti

    Nimekuwa nikisikia hili suala la wazazi kuzungumza na watoto wao, lakini sikuwahi kulifuatilia kwa kuwa mtoto wangu ndiyo kwanza ana miaka sita. Sikuwahi kuona kama kuna kitu cha maana kinachoweza kutuweka chini kuzungumza zaidi ya kumtuma lete hiki na kile na kumsaidia kazi zake za shule. “Ila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…