Wakati mwingine, kubaki sehemu moja ni kujitengenezea kaburi la kifikra na kiuchumi.
Kwenye maisha, kuna hatua inafika ambapo mazingira uliyopo yanakuwa hayana tena virutubisho vya kukulisha ili uongezeke.
Ili mmea ukue na kutanuka, lazima uhamishiwe kwenye udongo mpana zaidi.
Kadhalika na...