oktoba natiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Matovu Godfrey

    Mo29-Oktoba29 Tunatoka siku 3!

    Number 3 is a magical number 🔥 Bafo siku 3 na nina imani kila mtanzania amejiandaa ni mwendo wa #OktobaTunatoka #MO29 is a movement 💪🏽
  2. Kimbesa11

    GE2025 CCM ni maji yaliyotulia: Wapinzani wetu wapo na no reform no election huku wanafatilia kinachoendelea CCM kwenye uteuzi wa wagombea

    Wahenga walisema "maji yaliyotulia Yana kina kirefu" CCM NI MAJI YALIYOTULIA" Nashangaa kuona wapinzani wapo busy na kufatilia habari za uchambuzi wa wagombea wa ubunge na udiwani wa CCM huku wanaamini No Reform no Election sijui ni akili ya namna gani hii. Tuliwaambia CCM ni dude kubwa...
  3. Idugunde

    Kama CCM Oktoba wanaenda kutiki hii inamaanisha matokeo yote wanayo mfukoni. CHADEMA wapo sahihi kutoshiriki uchaguzi kama huu

    Wenyewe wanajinasibu kuwa oktoba ni kutiki tu na wala sio kuchagua. Hii nini maana yake? Wana matokeo yote ya uchaguzi kuanzia rais, mbunge hadi diwani. Zoezi lililobakia ni kutiki tu. Chadema ya Lissu ipo sahihi kabisa.
  4. funaku

    No reforms No Election imepata jibu mtandaoni Oktoba wanatiki kijani

Back
Top Bottom