ofisi za tls

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2025 Tamko La Rais Wa TLS Juu Ya Kitendo Cha Polisi Kuzunguka Ofisi Za TLS

    Wakili Mwabukusi ambaye pia ni Rais wa TLS (Chama cha Wanasheria Tanganyika), akizungumza na Wakili TV leo, amesema TLS inachukulia suala la polisi kuzunguka katika ofisi zao kwa uzito mkubwa sana. Amesisitiza pia kuwa TLS si wahalifu bali ni chombo cha kisheria kinachotekeleza majukumu yake kwa...
  2. GE2025 Ofisi za TLS zazingirwa na polisi. TLS yatoa tamko

    Ofisi za TLS Makao Makuu zimezingirwa na Polisi muda huu leo tarehe 22 Septemba 2025. Taarifa zaidi zitakuja
  3. Ofisi za TLS zazingirwa na Polisi kuzuia mkutano wa CHADEMA

    Chadema walikuwa wameomba ukumbi pale kufanya mkutano wa kuwakumbuka mashujaa yote. Eneo lote limezingirwa na ‘Mapolisi’ === CHADEMA kupitia ukurasa wao wa X wameandika kuwa; "Jeshi la Polisi limezingira ofisi za @TanganyikaLaw na kufunga barabara zote za kuelekea katika ofisi hiyo na kuzuia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…