Mchezaji wa Ken Gold Obrey Chirwa amesema kuwa kama Simba SC watacheza kama ambavyo wamecheza na Ken Gold kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi dhidi ya Yanga basi watafungwa lakini wakibadilika watapata sare
"Simba kama watacheza hivi kwa Yanga watapoteza ubingwa, Simba kama watacheza hivi kwa Yanga...
KenGold imemsajili winga wa zamani wa Yanga na Simba, Bernard Morrison kwa mkataba wa miezi sita huku ikikaribia kuwanasa Kelvn Yondani na Obrey Chirwa.
Timu hiyo inaonekana kuweka kipaumbele kwa wachezaji huru ili kutolipa ada za uhamisho katika dirisha hili dogo la usajili linaloendelea kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.