nyumba inauzwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jujan

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa

    Kwa wanaopenda makazi yaliyo karibu na barabara kuu hii inawafaa zaidi. Nyumba ipo Gongo la mboto(Kwalala). Bado ina eneo na bei ni nafuu kabisa. Tsh 35,000,000. Karibu kwa mazungumzo. Call 0755519358
  2. A

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nyumba inauzwa maeneo ya Tabata TOT ila Gari haliingii

    Habari wana jamii?? NYUMBA INAUZWA IPO maeneo ya tabata TOT ila Gari haliingii ndani mpaka katikaeneo la NYUMBA NYUMBA Ina vyumba vitatu na jiko na uwanja ulio baki Ni huo unaouona katika picha ninyumba ya kupangisha. Beii milioni 15. Mazungumzo yapo. Kwa mawasiliano 0766244848
  3. Atheds

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Picha ya ndege kitongoji cha Kimegele

    Nyumba ina vyumba vitatu(kimoja master), Sebule, Jiko, na choo cha umma. Eneo la kiwanja ni Futi 50 urefu na futi 40 upana. Inapatikana Vikindu, kijiji cha picha ya Ndege, kitongoji cha Kamegele. Eneo hili linafikika kwa gari, pikpiki, nauli ni Tsh 1000/= kutoka Vikindu kwa Usafiri wa pikipiki...
  4. Beah

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Kibaha Mjini Maili Moja kwa mkuu wa Mkoa

    Nyumba inauzwa kibaha mailimoja karibu na kwa mkuu wa mkoa nyumba ina hati ina ukubwa wa eneo la 400 sqmtrs (20×20) bei 35,000,000/= (milioni 35) mazungumzo yapo haina udalali mimi ndio mmiliki kwa mawasiliano 0765882717
  5. geofreyngaga

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Arusha tshs 35 millioni

    1.nyumba ipo Arusha morombo dampo kwa kaburu 2.ukubwa wa kiwanja miguu 15kwa 20 3.umbali km5 kutoka lami hati kwenye nyumba 4.ina vyumba 3, kimojawapo ni masta 5.ina jiko, sebule, umeme maji yameshalipiwa auwasa 6.haina fence 7.Document: serikali za mtaa 8.bei 35m maongezi yapo piga/whatsapp...
Back
Top Bottom