Msanii Harmonize kupitia lebo yake ya Konde Gang ametoa taarifa kuhusu wimbo wake mpya “Beautiful”, baada ya kuondolewa kwenye mtandao wa YouTube.
Kupitia taarifa hiyo, Konde Gang imesema wimbo huo umeondolewa YouTube kutokana na madai ya hakimiliki (copyright claim) yaliyowasilishwa na mtu...