Huu Ni Uume wa nyangumi aina ya blue whale, na ndio unaaminika kua Ni uume mrefu kuliko Uume wa kiumbe chochote kilicho hai duniani.
Unafikia urefu wa inchi 94.45, sawa kabisa na urefu wa futi 8 au mita 2.5
Yaani uume tu wa nyangumi umempita urefu mchezaji wa mpira wa kikapu wa kitanzania...