nyamisati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nipe Maji

    PreGE2025 Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali yaishauri TEMESA kuongeza kasi ya usimamizi mradi wa kivuko kipya mafia nyamisati

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeishauri TEMESA kuhakikisha inaongeza kasi ya kusimamia mkandarasi anaetekeleza mradi wa ujenzi wa kivuko kipya cha Mafia Nyamisati ili umalizike haraka na wananchi waweze kupata huduma ya kivuko. Akizungumza mara baada ya kupokea taarifa...
  2. Mindyou

    TEMESA yaomba radhi kwa watumiaji wa kivuko cha Mafia mpaka Nyamisati kutokana na safari kusitishwa

    Siku ya leo Oktoba 23 2024 Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) umeomba radhi kwa watumiaji wa kivuko cha MV Kilindoni kinachotoa huduma kati ya Mafia na Nyamisati kutokana na hitilafu kwenye mfumo wake, ambayo imesababisha kusitishwa kwa huduma. Soma pia: TEMESA tunaomba mlizingatie...
  3. Fene

    Nipo Nyamisati, nimeambiwa nilale siku mbili ndipo nitapata usafiri wa kuelekea Mafia

    Habari wanabodi, Leo nimefika hapa Nyamisati mida asubuhi nimeambiwa tiketi nimeshakosa napaswa nisubiri hadi Jumatano au Alhamisi ndipo meli itatoka tena kuelekea Mafia. Hiyo bado haitoshi kuna watu ambao wamebahatika kukata tiketi leo wao wameniambia wana siku ya nne tokea wafike hapa...
Back
Top Bottom