Wakati wowote kuanzia sasa aliyekuwa mbunge kwa tiketi ya CCM na baadae kujiuzulu na kuhamia Chadema Mh. Lazaro Nyalandu atachukua fomu za kugombea urais.
Taarifa za chini ya kapeti zinasema Nyalandu ana baraka zote za uongozi wa juu wa chama chake na atakachosubiri ni kukubaliwa tu chama...