nusrat hanje

Nusrat Shabaan Hanje (born 14 November 1989) is a Tanzanian politician and a member of the CHADEMA political party. She was elected as a member of the Special Seats as a woman representative and has been serving as a member of parliament since 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. Mindyou

    GE2025 Nusrat Hanje achukua fomu ya Ubunge jimbo la Singida Mashariki

    Wakuu, Aliyekuwa mbunge wa viti maalumu, Nusrat Hanje amechukua fomu kuomba uteuzi kwa ajili ya kuwania ubunge katika Jimbo la Singida Mashariki kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Hanje amekabidhiwa fomu hiyo Juni 28, 2025 na Katibu wa CCM Wilaya ya Ikungi, Joshua Mbwana (kushoto) Soma pia...
  2. Valencia_UPV

    Nusrat Hanje kushinda ubunge Ikungi 100%

    Mheshimiwa Nusrat kwa namna anavyokubalika duniani. Kura zote ni kwake Tu. Kidumu Chama Chetu
  3. Cute Wife

    PreGE2025 Nusrat Hanje atangaza kuhamia CCM

    Wakuu, Hatimaye ametamka japokuwa tulikuwa tunajua toka alipojitokeza na nguo za CCM. ==== Mbunge wa viti Maalumu kundi la Vijana kutoka Mkoa wa Singida kupitia CHADEMA Nusrat Hanje amewatangazia wananchi wa mkoa huo na Watanzania kwaujumla kuwa anahama chama hicho na kujiunga na Chama cha...
  4. W

    PreGE2025 Nusrat Hanje: Mtoto wetu aliyezaliwa Singida anataka kuvuruga Amani, Hatutakubali tunakwenda na Dkt. Samia

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Nusrat Hanje, amesema taifa linahitaji kuwa na amani na kwamba uchaguzi unapaswa kufanyika bila kizuizi chochote, kwani pakikosekana amani hakuna pa kukimbilia. Akizungumza katika mkutano wa hadhara na wananchi wa Makiungu, Jimbo la Singida Mashariki...
  5. Waufukweni

    PreGE2025 Mbunge Nusrat Hanje: Hakuna wa kuzuia Uchaguzi, msiwape umaarufu

    Mbunge wa Viti Maalum Nusrat Hanje amesema hakuna mtu mwenye uwezo wa kuzuia uchaguzi nakudai uchaguzi utafanyika nakuwataka watu kuacha kuwapa kiki Wanaodai wanauwezo wakudhibiti Uchaguzi ujao. Hanje ameyasema hayo leo Alhamisi Aprili 10,2025 bungeni Jijini Dodoma Wakati akichangia Makadirio...
  6. Mindyou

    PreGE2025 Mbunge wa Covid 19, Nusrat Hanje atangaza kugombea jimbo la zamani la Tundu Lissu, Singida Mashariki

    Wakuu, Huyu Mbunge wa COVID 19 ameamua kwenda jino kwa jino na Lissu huko Singida Mashariki ============================================== Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Nusrat Hanje, ametangaza nia ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Singida Mashariki katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka...
  7. W

    PreGE2025 Mbunge Nusrat Hanje ameandaa ibada na dua kumuombea Rais na Uchaguzi

    Huu uchawa asee yajayo yanafurahisha na kusikitisha kwa wakati mmoja. ==== Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida Mhe. Nusrat Hanje ameandaa Maombi na Dua Maalum ya Viongozi wa Dini na Wazee kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Tukio hilo linafanyika...
  8. mwanamwana

    PreGE2025 Mbunge Nusrat Hanje (CHADEMA) akimpamba Rais Samia kwa kumuimbia mitano tena

    Huyu mbunge jau sana, ndio shida ya ubunge wa kupewa, basi tuseme ni suala la muda tu kujiweka wazi kama mwanachama wa CCM, lakini hakupaswa kuwa chawa wa Mama. Wabunge wa namna hii, wana mchango mdogo katika Taifa. Wanawaza maslahi yao badala ya maslahi Jumuishi.
Back
Top Bottom