nurdin babu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2025 RC Babu: Jitokezeni kupiga Kura mliojiandikisha

    Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama ya Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, ametoa wito kwa wananchi wa mkoa huo waliojiandikisha kujitokeza kwa wingi kupiga kura Oktoba 29, 2025, bila kuwa na hofu yoyote. Babu ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, ameyasema hayo mjini Moshi, alipokuwa akizungumza...
  2. RC Kilimanjaro: Nilivaa kanzu na kofia, wahudumu hospitali ya Mawenzi hawakunitambua, nikasubiria huduma kwa saa tatu ikabidi nianzishe fujo

    MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, amechemka hadharani kutokana na kile alichokiita huduma za aibu katika Hospitali ya Rufani ya Mkoa Mawenzi na kumwagiza Katibu Tawala wa Mkoa, kufanya uchunguzi wa kina utendaji wa hospitali hiyo...
  3. R

    Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro Nurdin Babu, atahadharisha jamii kuhusu ngono zembe na kuendelea kujikinga na UKIMWI

    Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro (RC), Nurdin Babu ameitaka jamii kuendelea kuchukua tahadhari kwa kuacha ngono zisizo salama na kutumia kinga ili kuepuka na au kupunguza maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi (HIV):’’Kwani ugonjwa huu bado upo.’’ Mkuu huyo wa mkoa amesema hayo jana Alhamisi, Julai...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…