Naomba msaada nijue haki yangu naipata wapi Mimi niliajiriwa katika kampuni binafsi na nimemaliza mkataba wangu.
Kama ilivyo makubaliano ya mkataba ni WA muda mfupi 12 months na yote nimetumikia, nilipoandika barua ya kutoa taarifa ya kutoendelea na wao baada ya mkataba huu kuisha kama ilivyo...
Naomba msaada nijue haki yangu naipata wapi. Mimi niliajiriwa katika kampun ya Tanzania Tooku Garments Company Limited na nimemaliza mkataba wangu kama ilivyo makubaliano ya mkataba ni wa muda mfupi (12 months) na yote nimetumikia.
Nilipoandika barua ya kutoa taarifa ya kutoendelea nao baada ya...