nrne

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    GE2025 Jimbo la Kisesa wamesema NRNE, kwamba bila jina la Mpina, hakuna uchaguzi wa mchujo

    Salaam ! Sasa Ile operation yenye nguvu ya NRNE imeingia chama Cha kijani, sasa ni Jimbo la Kisesa. Nikiripoti kutoka Jimbo la Kisesa, ni Mimi mwana mabadiliko rabbon! NRNE 💪 🔥 Karibuni 🙏
  2. GE2025 Athari za no reform no election kwa CHADEMA na vyama vingine vya siasa Tanzania

    Wajomba eeeh unajua harakati ya CHADEMA ya “No Reforms, No Election” ilikuwa ni msimamo mkali wa chama hicho kupinga kushiriki chaguzi bila marekebisho ya msingi katika mfumo wa uchaguzi na sheria zinazosimamia siasa nchini Tanzania. Msimamo huo uliathiri siasa kwa njia kadhaa: 1. Athari kwa...
  3. R

    Je ni kweli, kampeni za kimya kimya wafanyazo ccm zimetokana na operation ya NRNE?

    Hellow! Kwamba kwa kuwa bila CHADEMA kutokea uwanjani na kugomea mechi kuchezwa bila Reforms ,hapatokuwa na hamasa ya mchezo, hivyo maamuzi ni kufanya mambo kimya kimya? Kwamba kwa kuwa mpinzani Mkuu amegomea mechi isifanyike, wameamua kufanya hekaheka za kimya kimya? Kwamba zoezi la...
  4. Covid 19 na wanachadema wengine mlio gombea CCM ubunge, kwa sababu ya tamaaa zenu! Mkienguliwa huko, msililie Maana mmekataa NRNE

    Watanzania wote hatutawasikiliza mkipigwa chini huko ccm kwenye kura za maoni. Mmekataa masilai ya taifa , mmetanguliza matumbo yenu, Ivi mhajifunzi kwa yule makamu wa zanzibar mwaka 2014 akisimama upande wa haki, mfumo wakamtimbua kama mwasheria wa serikali, karma ikamkumbuka leo hii ni makamu...
  5. Baada ya Eng. Hersi Kuchukua Form ya Ubunge - Wito kwa wana Yanga : NRNE

    Wakuu JF wana Yanga na wa Tanzania wote kwa Ujumla wenye Mapenzi mema na nchi yetu Amani ya Mungu wetu ikae nanyi Daima. Niweke wazi in advance kuwa mimi ni Mtanzania, shabiki wa Yanga na ni mwana CHADEMA, pia ni mmoja ya wa Tanzania tunao wish CCM ife hata hii leo Nimewiwa kuja na uzi huu...
  6. Kwa alichokizungumza Rais Samia Chadema wanahaki ya kusema NRNE

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika hafla ya uapisho wa viongozi wapya leo, amemuelekeza Mkuu mpya wa Mkoa wa Mbeya, Beno Malisa, kuhakikisha anailinda heshima ya Mheshimiwa Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, ambaye anatoka mkoani humo.Aidha, Rais Samia...
  7. B

    Mbona kama upepo umebadilika tena? Oktoba Tunatiki kama wameshinda vile. NRNE kama imepoteza nguvu vile.

    Sasa hivi naona kama vile NRNE imepooza vile. Ni kama vile CCM wame vuka kigingi cha NRNE at least kwa mwaka huu... Tundu Lissu wafuasi wake wamemtelekeza. Na Mambo mengine yanaendelea kama kawaida. Let's wait and see
  8. Video: Baada ya Mahakama kusitisha shughuli za chama, Tundu Lissu atoa ujumbe mzito toka gerezani kuhusu NRNE, asema Aluta continua..!

    https://youtu.be/rVoMmXxnrwc?si=3yJq9L7mgZsH9xe8 Asema: 1. MSIOGOPE. Jaji Hamidu Mwanga ni Jaji wa CCM. Aliwekwa ktk kesi hii kwa maslahi ya CCM. Huyu alikuwa mjumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) chini ya uenyekiti wa Jecha Jecha iliyofuta matokeo ya ushindi wa CUF ya Maalim Shariff Hamadi...
  9. PreGE2025 Kuna kampeni za ku-unfollow page za wanaopinga mabadiliko, naenda kwa Rais Samia na wote serikalini wanaopinga mabadiliko

    kumbe kuna kampeni za unfollow mtandaoni ngoja na mimi nika unfollow samia na watu wote serikalini kuunga mkono damu zilizo mwagika na mabadiliko. Nasimama mstari wa mbele kuunga mkono wote waliotekwa na kuuwawa walio dhurumiwa mali zao ikiwemo wakina gwajima kwaajili ya kuwatetea watanzania na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…