notisi

Notisis is a genus of deep-sea bamboo coral in the family Isididae.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania KERO Tiketi za SGR: Mtandao unaonyesha "seats full" wakati mabehewa yapo wazi, nani ananufaika na mkakati huu?

    Habari wakuu wa jukwaa hili la JamiiForums. Ni miezi kadhaa sasa tangu mradi wetu wa kimkakati wa Treni ya Kisasa (SGR) uanze kutoa huduma kati ya Dar es Salaam, Morogoro na Dodoma. Wakati Watanzania wengi wakifurahia reli hii mpya, kuna changamoto kubwa sana inayoumiza kichwa na inayozua...
  2. JamiiForums Tanzania Baada ya Kufukuzwa Uanachama, Upi ni Uhalali wa Yale Yaliomo Kwenye Notisi ya Kujiuzulu?

    Kwamba nitastahafu siasa kuanzia tarehe 4 Septemba, 2026 Nawaza tu, kama notisi ilikubaliwa, je huyu mwamba ni bado Makamu wa Raisi mpaka 4 September 2026 au kwa kufutwa kwake uanachama amefukuza wakati akiwa kwenye notice period. Wabobezi, wanazi na vilaza ni wengi, ila wote maoni yetu...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Walimu Busega wachachamaa,wampa notisi ya siku 90 Maiko Kachoma (Mkurugenzi,Busega) wasema lazima Haki ipatikane

    Walimu wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega wameamua kugeukia Mahakama ili kudai haki yao baada ya Mkurugenzi wao, Ndugu Maiko Kachoma, kukaidi matakwa ya sheria na kupuuza maombi yao. Walimu hao, zaidi ya 150, wamempa notisi ya siku tisini kuhakikisha kuwa amekamilisha mchakato wa kuwatoa katika...
  4. JamiiForums Tanzania Morogoro: Mpangaji afungiwa ndani Saa 27 na Mmiliki wa nyumba kwa madai ya kukiuka Notisi ya kuhama

    Wakuu, huu ni Uungwana kweli? Huko Marogoro mwenye nyumba kamfungia ndani saa 27 mpangaji kisa amekiuka notisi Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mmiliki wa nyumba Plot namba 149 BLOCK ‘A’ Kihonda Kilimanjaro, Dk. Lusako Mwakiruma ilioyopo Mtaa wa Kilimanjaro Manispaa ya Morogoro, amemfungia...
  5. JamiiForums Tanzania DC Ubungo apewa notisi ya kuwalipa ‘makahaba’ fidia ya Sh36bilioni

    Dar es Salaam. Sakata la ukamataji wanawake 36, wanaodaiwa kujihusisha na biashara ya ukahaba limechukua sura mpya, baada ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo (DC), Hassan Bomboko kupewa notisi ya kuwalipa Sh36 bilioni. Notisi hiyo ya siku 14 inayoanza leo Alhamisi, Juni 20, 2024, ambayo Mwananchi...
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta softcopy ya notisi za kiswahili kidato cha pili

    Wakuu naomba kama kuna mtu ana notisi za kiswahili (kidato cha pili) au link ambayo naweza kuzipata anisaidie! Nataka kumsaidia kijana wangu
  7. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa Kariakoo wagoma kuhama kupisha Wawekezaji

    Wafanyabiashara wa maduka kutoka soko la Kariakoo wamefika makao makuu na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kupinga notice walizopewa na shirika hilo kwa kuwataka kuhama ndani ya siku 90 kupisha mwekezaji mpya katika eneo hilo. Wafanyabiashara hao wamesema, wao hawapingi maendeleo lakini muda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…