nkasi kaskazini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Salum Mwalimu, amempa 'maua yake' Aida Kenani, Amepambana sana jimbo la Nkasi Kaskazini

    Haaa! Mwalimu umeyatoa ya moyoni kwa Aida, ila furshi huyu dada alijatihdi sana kuwatumikia wananchi wake wa Jimbo Nkasi Kaskazini na ukizangatia katika uchaguzi wa 2020 yeye ndiye alikuwa mgombea pekee aliyeshinda ubunge kutoka vyama vya upinzani Tanzania nzima. Anarekodi yake...
  2. Tindo

    GE2025 Polisi Wavamia Makazi ya Mbunge Aida Khenani na wafuasi wa CHADEMA wapigwa sana

    WATU WANEKAMATWA NA KUPIGWA VIBAYA SANA TAARIFA KWA UMMA SERIKALI YA CCM YATUMIA POLISI KUVAMIA MAKAZI YA MHE. MBUNGE AIDA JOSEPH KENANI NA KUWAPIGA NA KUWAUMIZA VIBAYA VIONGOZI NA WANACHAMA Mapema Mchana wa leo Tarehe 27 Julai, 2025. Jeshi la Polisi Wilaya ya Nkasi, kwa kutumia Polisi...
  3. E

    GE2025 Aida Kenani aaga wapiga kura Nkasi Kaskazini akisema, "sitasaliti mapambano"

    Aliyekuwa Mbunge pekee wa Chadema kutoka Nkasi Kaskazini, Aida Kenani amewaaga wapiga kura wake akisema kama atagombea hakuna wa kumshinda. Hata hivyo, amesema hawezi kusaliti mapambano. Chadema imeweka msimamo wa kuzuia uchaguzi hadi mabadiliko yatakapopatikana, maarufu "No Reforms No Election."
  4. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mbunge Aida Khenani Apokelewa Kwa Kishindo Jimboni kwake Nkasi Kaskazini

    Mbunge wa Nkasi Kaskazini kupitia tiketi ya CHADEMA, Aida Khenani apokelewa kwa kishindo Jimboni kwake akielekea kwenye maadhimisho ya siku ya Wanawake duniani ambako leo Machi 04, 2025 Wanawake wa chama hicho Nkasi Kaskazini wameadhimisha katika Kata ya Kirando mkoani Rukwa. Kupata matukio na...
  5. Erythrocyte

    Chadema yatikisa Nkasi Kaskazini, Umati Mkubwa wajitokeza

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Chadema imeingia Nkasi na kufanya Maandamano Makubwa na Mkutano mkubwa wa Hadhara. Mkitano huo umehudhuriwa na Umati mkubwa wa Wananchi bila kujali kutekwa na kuuawa! Makamu Mwenyekiti wa Kanda hiyo Frank Mwakajoka ameongoza Jambo hilo
Back
Top Bottom